HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Lori lapata ajari barabara ya Mandela Road jijini Dar mchana wa leo


Gari aina ya Mitsubishi Fuso lenye nambari za usajili T 612 BHY limepiga mwereka mchana wa leo maeneo ya Tabata Matumbi kama unaelekea Ubungo kwenye Barabara ya Mandela.Chanzo cha kutokea kwa ajali hiyo bado hakijafahamika na hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Gari hiyo ikiwa imelala ubavu baada ya kupiga mweleka mchana huu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: