Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo
alipofika kutoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson
Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na
waziri katika wizara mbalimbali hapa nchini.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali hapa nchini. Hapa ni
nyumbani kwa marehemu Makwetta Bunju,jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais,Dkt. Ghalib Mohamed Bilal akitoa heshima za mwisho na kuuaga
mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi
alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri Mkuu,Mhe. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Spika
wa Bunge,Mhe. Anne Makinda akitoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mhe. Cleopa David Msuya akitoa heshima zake za mwisho na
kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake
juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais - Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akitoa
heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye
kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara),Mhe. Philip Mangula akitoa heshima za mwisho
na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki
kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya kutoa
heshima za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye
kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali.
Mke
wa Rais Mama Salma akiwafariji wana familia wa marehemu Jackson
Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na
waziri katika wizara mbalimbali.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kutoa heshima
zao za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla
ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali.
PICHA NA IKULU.














No comments:
Post a Comment