HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAGIC FM NA DTV WAFUNIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LEO KATIKA UZINDUZI WAO KWA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER

 
 Umati mkubwa uliofurika uwanja wa Jamhuri kushuhudia uzinduzi wa Magic Fm na Dtv chini ya udhamini mkubwa wa Windhoek Beer.
 
 

 Maelfu wakifuatilia mtiririko wa Onyesho hili la aina yake mjini Dodoma.
 Anaitwa Bibi Cheka akiwajibika jukwaani, Pembeni ni Msanii Dogo Asley.
Msanii mwenye sauti ya aina yake PNC akifanya yake ndani ya Uwanja wa Jamhuri  mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic FM na DTV .
 VINYWAJI AINA YA WINDHOEK TAYARI KWA KUUZWA TSH 2500 TU!
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizindua rasmi Magic Fm na Dtv Mjini Dodoma
 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: