HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Mvua ilivyokaribia kuharibu ziara ya Rais Kikwete Arusha wiki hii

IMG-20121102-WA0012 
Mvua iliyoanza kunyesha ghafla siku ya Alhamisi, Novemba 1, 2012 ilikaribia kuharibu shughuli ya Rais Kikwete kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini hapa.
IMG-20121102-WA0009 
Wanausalama wakizunguka kurudisha wananchi waliokuwa wakiondoka eneo la mzunguko wa Azimio la Arusha mara baada ya mvua kuanza kunyesha
IMG-20121102-WA0016
IMG-20121102-WA0011
2012-11-01 10.28.06 
Maaandalizi kabla ya kuanza kwa shughuli rasmi uwanja wa Sheikh Amri Abeid
IMG-20121102-WA0008 
Wananchi wakikimbia mvua
IMG-20121102-WA0010Baadhi ya magari yaliyokuwa yakisomba watu kutoka uwanjani

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: