HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Sherehe ya kuagwa kwa Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo zafanyika leo



Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akipeana mkono na mama yake mzazi
Baadhi ya maofisa wa JWTZ katika sherehe ya kumuaga Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo
Brass Band ya JWTZ ikitumbuiza 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, (CDF), Jenerali Davis Mwamunyange, akimkabidhi cheti cha utumishi baada ya kustaafu, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, Abdulrahman Shimbo (kushoto), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam 


Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo akikagua gwaride rasmi wakati wa sherehe za kumuaga

Baadhi ya ndugu na jamaa wakimpongeza Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luten Jenerali, Abdulrahman Shimbo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: