HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Taswira ya Kariakoo leo Ijumaa

 Baadhi ya askari wa kutuliza ghasia wakiwa wamekaa tu baada ya kuwa hawana cha kufanya kwani maandamano hayakuwepo.
 Mitaani Kariakoo leo hadi sasa saa kumi,shughuli zinaendelea kama kawaida
Askari wakipiga soga kwenye gari lao lililopaki.

Kulikuwa na jaribio la kuandamana baada ya swala hapa kariakoo,lakini limezimwa bila kusababisha taharuki kubwa,baadhi ya watu wamekamatwa na bado wanashikiliwa.
Kwa sasa hali ni shwari.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: