Kwa masikitiko
makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya uongozi na
sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na
wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi huo.
Ni vibaya kwa
gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni waugwana
natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo.
Askofu Method
Kilaini
Bukoba Catholic
Diocese
e-mail: mkilaini@gmail.com
http://card-rugambwa.catholicw eb.com



No comments:
Post a Comment