Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo na kuonyeshwa Ramani ya Jengo
na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Elius Mwakalinga,
wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Ujenzi wa Nyumba za
Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la Ada Estate, jijini Dar es
Salaam, leo Desemba 20, 2012. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli,
wakati akiondoka eneo la Ada Estate, baada ya kuweka Jiwe la Msingi
katika Ujenzi wa Nyumba za Makazi ya Watumishi wa Umma, zilizopo eneo la
Ada Estate, jijini Dar es Salaam, leo Desemba 20, 2012.
Picha na OMR
No comments:
Post a Comment