Baadhi
ya waombolezaji wakielekea makaburini wakati wa mazishi ya mbunge wa
zamani wa Tabora mjini, marehemu Siraju Juma Kaboyonga katika makaburi
ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu
Siraju Juma Kaboyonga aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora
Mjini,ambaye alifariki ghafla jana.
Rais
mstaafu wa awamu ya nne,Mh. Mzee Ali Hassani Mwinyi akiweka udongo
kwenye kaburi la Marehemu Siraju Juma Kaboyonga wakati wa mazishi
yake,yaliyofanyika mapema leo kwenye makaburi ya Kisutu,jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA MICHUZI
No comments:
Post a Comment