HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MBEYA KUNA NINI?:AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MAFIATI MWANJELWA BODABODA NA GARI AINA YA GX 100 USO KWA USO USIKU HUU

  Ajali hii ya pikipiki na gari aina ya GX 100 imetokea eneo la Mafiati Mbeya na sababu ya ajari ni mwenye pikipiki ameingia barabara kuu bila kutizama pande zote za barabara
Mwonekano wa gari kwenye koo baada ya kupata ajari


  Inasemekana mwenye pikipiki T 336 BFW ameumia sana


Mpaka sasa haijajulikana majeruhi wangapi  tukipata taarifa tutawajuza
Picha na Mbeya Yetu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: