Kuna
nafasi ya kazi maalumu kwa ajili ya Mtaalamu wa Kuandika Tenders za namna
mbalimbali regardless ni katika Sector gani. Kazi atakazofanya ni pamoja
na:
- Kuandika Tenders za Serikalini na Mashirika ya Umma kutegemeana na ToR
- Kuandika Tenders na Proposals za Makampuni Binafsi
- Kuandika Company Profile na kutafuta kazi
- Kushiriki katika kufanya kazi zilizopatikana kama coordinator
- Kuwasiliana na Ma-Consultants mbalimbali walioko katika database kwa kazi zilizopatikana
- Kumaintain database ya Ma-Consultants mbalimbali
Sifa
Za Mwombaji:
- Awe na Elimu ya Chuo Kikuu
- Awe na utaalamu wa kuandika Tenders za aina mbalimbali kutegemeana na ToR
- Awe na uwezo wa kufuatilia kazi mbalimbali: Sales & Marketing
- Awe ana bidii ya kazi na mwenye kujituma
- Awe anaielewa vema lugha ya Kiingereza: Kuongea na kuandika
- Awe anajua kutumia vema computer na kuandika reports mfano: Ms-Word; Excel etc.
Mshahara
utazingatia sifa za mwombaji.
Tuma
maombi yako na CV haraka kwenda Mtsimbe@gmail.com & sam@danimex.com




No comments:
Post a Comment