Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampauni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche (wa tatu
kushoto) akikabidhi funguo kama ishara ya kukabidhi basi la Taifa Stars
kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Leodgar Tenga (wanne
kushoto) wakati Kilimanjaro Premium Lager ilipokabidhii basi hilo makao
makuu ya TBL Jijini Dar es Salaam leo.
Kocha
wa Timu ya Taifa Kim Poulsen akishuka kutoka kwenye basi jipya la Taifa
Stars lililolabidhiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
Washangiliaji
mbalimbali wa Taifa Stars wakati Kilimanjaro Premium Lager ilipokabidhi
basi jipya kwa Taifa Starsaifa katika makao makuu ya TBL Ilala leo.
Washangiliaji
mbalimbali wa Taifa Stars wakati Kilimanjaro Premium Lager ilipokabidhi
basi jipya kwa Taifa Starsaifa katika makao makuu ya TBL Ilala leo.
PICHA NA MICHUZI BLOG

No comments:
Post a Comment