HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » DREVA ALIYEMGONGA KWA GARI ELIKIZA NKO TRAFIKI ENEO LA BAMAGA-MWENGE AFIKISHWA MAHAKAMANI

Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko akitolewa mahabusu ili kupelekwa mahakamani kusomewa mashtaka yanayomkabili
Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko akiingizwa mahakamani
Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita akitafakari jambo ndani ya mahakama akisubili kusomewa mashtaka yake
Jackson  Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge  jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: