Amiri
Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha
kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester
Bulaya leo katika kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi
hayo leo yaliyofanyika kwa wiki tatu.(Picha na Ikulu)![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiV-vzBeZCWP2CZbyy_UTt1_7H4PzEr7xqGmT-0eURMXFyT4iXAzCRlWZi9kREuohFu6mIdKU6gn8dyhyphenhyphen757nffEVK4ria_UwhLylL-4UBjiPA1UsuhmiYy1BpcQG1BoMIyLzPypb8xrA/s640/8E9U3018.JPG)
Wabunge
Halima Mdee na Ester Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa
kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la
Kujenga Taifa Ruvu JKT huko kibaha Mkoani Pwani leo.
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya
muda mfupi kwa viongozi kutoka kwa kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Muhingo
Rweyemamu wakati wakimaliza mafunzo ya JKT, katika Kambi ya Mgambo
kikosi cha 835 wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
wakwanza
katika mstari wa kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
anayefuata ni Mbunge wa Kinondoni Iddi Azani, wakiwa kwenye Paredi ya
kumaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Kikosi cha 835 Mgambo JKT
kambi iliyopo katika Kata ya Mgambo ilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
wakwanza
kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Iddi Azani pamoja na Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, ZItto Kabwe, wakihitimu mafunzo ya JKT katika kambi ya 835
Mgambo JKT iliyopo Tarafa ya Mzundu wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Kinondoni Iddi Azani, akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya JKT
katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Biharamulo, Dk Athanas Mbassa, akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya
JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni Mkoa wa Tanga. picha na Hussein Semdoe.
Mbunge
wa Kiwani Pemba, Abdallah Haji Ali, , akiapa wakati wa kumaliza
mafunzo ya JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa
ya Mzundu wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akiapa mbele ya kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Muhingo Rweyemamu, hayupo pichani, wakati wakimaliza mafunzo ya
JKT, katika Kambi ya Mgambo kikosi cha 835 wilayani Handeni Mkoa wa
Tanga.
Mbunge
Viti maalum Raya Khamis , akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya JKT
katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni.
Baadhi
ya Wabunge walikuwa wakichukua mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi
katika Kambi ya Mgambo kikosi cha 835 wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge wa Mtera Mh. Livingstone Lusinde "Kibajaji" (wa tatu toka kulia) akipiga kwata
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
kujenga Taifa na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na
waheshimiwa wabunge waliohitimu mafunzo maalumu ya JKT
No comments:
Post a Comment