HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KAJALA ALIPA SHILINGI MILIONI 13 KUKWEPA KIFUNGO CHA MIAKA 8

Kajala akiingia mahakamani ili kusomewa hukumu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo kesi yake ilitolewa hukumu ya kwenda jela miaka 8 au kulipa faini ya sh. milioni 13. Kajala ambaye alilipiwa faini hiyo na Wema Sepetu, alikuwa anakabiliwa na makosa ya kula njama, kuamisha umiliki wa nyumba iliyokuwa imezuiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali isiuzwe. (Picha na Francis Dande na GPL)
Kajala na mumewe, Faraja Chambo wakisubiri hukumu yao.
 Kajala akitafakari jambo
Machozi yalimtoka baada ya kuhukumiwa kufungwa miaka nane (8) au kulipa shilingi milioni 13. 
 
Baba Kajala (kushoto) akishauriana jambo na wasanii wa filamu na maswahiba wa mwanaye.
 Msanii wa filamu, Kajala Masanja akiwapungia mkono ndugu, jamaa na watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
 Kajala akiwa na ndugu zake.
  Msanii wa Filamu Mahsin Awadh akiwa na msanii mwenzake Elizaberth Michael 'Lulu'
Kajala akiondoka katika eneo la Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Wema Sepetu akiwa na Kajala
 Kajala akisindikizwa na wasanii wenzake wakati akitoka mahabusu baada ya kulipiwa faini ya milioni 13 na kuachiwa huru.
Msanii wa filamu, Kajala Masanja akiwa na Mahsin Awadh.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: