HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MVUA ZILIZONYESHA LEO DAR ES SALAAM ZASABABISHA MAUTI

 Daladala likipita kwa tabu katika barabara ya Azikiwe Posta jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Habari Mseto)
 Mtaa wa Azikiwe ukiwa umefurika maji ya mvua.

 Adha ya mvua gari likiwa limetumbukia katika chemba ya maji machafu.


 Wasamaria wema wakisukuma gari la polisi lenye namba PT 0314 baada ya kuzimika barabarani kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo ya katikati ya jijini Dar es Salaam

Habari zilizotufikiwa katika chumba chetu cha habari zinasema kuwa mvua kubwa iliyoanza majira ya saa nne asubuhi imesababisha maafa baada ya mtu mmoja kuzolea na maji ya mvua katika eneo la Tabata Reli jijini Dar es Salaam.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: