HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA DAR LEO KUTOKA INDIA

 Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akizungumza na wanachama  na mashabiki timu hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, mara baada ya Rage kuwasili leo akitokea nchini India kwa matibabu. (Picha na Francis Dande)
 Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo leo akitokea India kwa matibabu.

Karibu Mwenyekiti wetu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: