HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWILI WA MBUNGE WA CHAMBANI KUAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Wananchi CUF wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakijadili jambo wakati wakisubili mwili wa marehemu,Salim Hemed Khamisi, Mbunge wa Chambani Pemba, Dar es Salaam. Baadhi ya familia ya Mbunge wa Chambani Marehemu, Salim Hemedi Khamisi, wakiwa na hudhuni kumwa baada ya mpendwa wao kufaliki dunia. (Picha na Habari Mseto)
  Wanafamilia ya Marehemu, Salim Hemedi Khamisi,  Mbunge wa Chambani wakilia kwa uchungu Salim Hemedi Khamisi
 Mke wa Mbunge wa Chambani Marehemu Salim Hemedi Khamisi wa pili kulia, Asla Saidi Zaharani, akili kwa uchungu baada ya kupewa taalifa ya kifo cha mume wake.
 Spika wa Bunge, Anne Makinda, akiwafaliji viongozi wa Chama cha wananchi CUF kutokana na kifo cha mbunge wao,Salim Hemedi Khamisi,Salim Hemedi Khamisi, katika Hosptali ya Taifa Muhimbili
 Spika wa Bunge, Anne Makinda,akimfariji Mke wa Marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam.
  Baadhi ya watoto wa Marehemu, Salim Hemedi Khamisi wakiwa na hudhuni kutokana na kifo cha baba yao mpendwa.
Spika wa Bunge akiwafariji wanandugu wa wa marehemu Mbunge wa Chambani, Salim Hemedi Khamis
 Waziri wa Ulinzi, Shamshi Vuai Nahodha,akisalimiana na wanafamilia wa marehamu, Salim Hemedi Khamis
Mwili wa Marehemu ukuingizwa katika Gari kwajili ya kuupeleka katika msikiti wa Shadhiri kwa  jili ya kuhuifadhiwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: