HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PROFESA NA MWANDISHI WA VITABU "CHINUA ACHEBE" AFARIKI DUNIA


Nigeria yampoteza mtu muhimu sana

Chinua Achebe, mwandishi wa vitabu, mwana mashairi anaejulikana sana Africa kutokana na kazi zake, hasa kitabu kilichompa umaarufu sana "Things Fall Apart" amefariki dunia. Chinua amefariki jana usiku akiwa na umri wa miaka 82, katika hospitali iliyoko Boston, Massachuttes, USA.

Premium Times
imeripoti kuwa Professor Achebe amekuwa akiugua kwa mda mrefu ugonjwa ambao haukuzungumziwa. Chebe alikua ni mwandishi wa vitabu vilivyompa umaarufu na vilivyoleta mapinduzi katika elimu ni pamoja na Arrow of God, No Longer at Ease, Anthills of the Savannah, na A man of the People na kupokea tuzo mbali mbali za kitaifa kwa kazi zake.
Kitabu chake cha hivi karibuni ni "There was a county" ikiwa ni autobiography ya uzoefu wake na maoni yake juu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. 
 
Habari kwa hisani ya Fununu  Habari

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: