Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania aliyemaliza muda wake Bw. Sam Elangallor.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel India
Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, jana jioni.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel
India Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, jana
jioni.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel India
Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, jana jioni.
Rais
Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Airtel pamoja na
Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa
(kushoto).
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Mkurugeni Mkuu mpya wa Airtel
Tanzania Bw Sunil Colaso na aliyemaliza muda wake Bw Sam Elangallor
(kulia).
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa kampuni ya Airtel India
Bw. Sunil Mittal alipokutana naye Ikulu, Dar es salaam, jana jioni.( Picha na Ikulu)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete jana jioni amekutana na kufanya mazungumzo na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel ya India Bw. Sunil Mittal
aliyemtembelea na ujumbe wake kuzungumzia maswala mbalimbali ya sekta ya
Mawasiliano.
Bw.
Mittal aliongozana na Bw. Manoj Kohli, CEO Internationa wa kampuni
hiyo, Bw. Jayant Khosla, CEO Anglophone Africa, Bw. Sam Elangallor,
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania anayemaliza muda wake, Bw Sunil
Colaso, Mkurugenzi Mkuu mpya wa Airtel Tanzania pamoja na Bi Beatrice
Singano, Corporate Affairs Director wa Airtel Tanzania.
Katika
mazungumzo hayo ujumbe wa serikali ulikuwa ni pamoja na Waziri wa
Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti
wa CHC Profesa Marcelina Chijoriga, Kaimu Mtendaji wa CHC Bw. Dome
Malosha, Msajili wa Hazina Mama Mlaki na Mhandisi Clarence Isokeleza
No comments:
Post a Comment