Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti
wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27, 2013 katika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki.
Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama
Fatma Mrisho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mhe William Lukuvi. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu baada ya taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27, 2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda’, Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi
(TACAIDS) Mama Fatma Mrisho.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua rasmi taarifa ya
utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27,
2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia baada ya kuzindua rasmi taarifa ya
utafiti wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27,
2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda na kushoto kwake ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt
Hussein Mwinyi, Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa.
Wadau
kutoka sekta mbalimbali wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na
Malaria wakati wa uzinduzi rasmi wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya
ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27, 2013 katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam.
Meza
kuu ikimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi
(TACAIDS) Mama Fatma Mrisho akisoma taarifa ya utafiti wa viashiria vya
ukimwei na malaria mwaka 2012, Machi 27, 2013 katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment