Ndugu zangu Watanzania wenzangu naomba msaada kwenu.
Usiku wa juzi Tarehe 01/04/2013 kuamkia 02/04/2013 mida ya saa tano na nusu hivi (23:30 pm). Mtaa wa Goba Mbezi ya Tangi Bovu nyumbani limeibiwa Gari aina ya SPACIO number T 424 CHH NYEUSI.(Picha na BongoClantz)

Ni majambazi waliokuwa wakifuatilia Gari kwa nyuma tangu Mitaa ya
Samaki Mbezi beach mpaka gari ilipofika nyumbani kabisa getini ndipo
walipotrack gari kwa kuja mbele na kuamulu Dereva ashuke na kulala chini
kifudifudi, Wakiwa wameshikilia Bastora na Mapanga, waliingia nakuondoa
Gari kisha kutokomea pasipojulikana.
Taarifa nimepeleka Kituo cha POLICE tayali so naomba msaada kwa watanzania wenzangu naamini sote ni ndugu na tunaupendo wa dhati kwa kila mmoja wetu, Atakae iona gari hii atoe taarifa kituo cha POLICE chochote karibu yake au apige simu number 0713 302 823 au 0753 481 368

No comments:
Post a Comment