HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWZZZZ: RUFAA DHIDI YA ZOMBE YATUPILIWA MBALI NA MAHAKAMA YA RUFAA


MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishna MsaidAizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: