Duru za Habari kutoka mjini humo zinasema vurugu kubwa zimezuka katika barabara ya Iringa-Dodoma na katika mitaa ya Mashine tatu ambapo Polisi mkoani humo wamelazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi.
Ni Machafuko Iringa hivi leo
PICHA
NA FRANCIS GODWIN WA MATUKIO DAIMA



No comments:
Post a Comment