HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KUTOKA USWAHILINI ADI UGHAIBUNI: SENSEI RUMADHA FUNDI KALA NONDOZZZZZ! NCHINI MAREKANI

 Sensei Rumadha Fundi akielekea kuchukua Nondozi
 Sensei Rumadha akiwa na ndugu na marafiki
 Sensei Rumadha na mkewe Anita pamoja na mdogo wake Rumadha,Kibwana Fundi katika shangwe
Sensei Rumadha akiwa binamu Dotto Haruna
Sensei Rumadha Fundi (mstari wa nyuma) akiwa na wataalamu wenzie wa mapafu(Picha na Msema Kweli)

 Sensei Rumadha Fundi ,kachukua Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care". Sensei Rumadha Fundi ajiongezea taaluma kutoa Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa  mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu !

Si  mwingine bali yule mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga, Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan,Black Belt ) mwenye maskani yake kule marekani juzi 17 Mai 2013 Sensei Rumadha Fundi akishangiliwa na kupongezwa na  ndugu na marafiki waliomshuhudia akipokea Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care" "Collin College, McKinney, Texas, USA.Sensei Rumadha Fundianongezea C.V yake kwa kula nondo ya utaalamu wa tiba za mapafu na moyo,Sensei Rumadha sasa amekuwa mtaalam
Respiratory Therapist: Mtaalam wa hewa na gas ya kupumua anaye tibu mapafu na moyo chini ya maelekezo ya mganga wa mapafu"pulmonalogist. Pia, Respiratory therapist anamajukumu mengi kama kuwatibu wagonjwa wa pumu,COPD,Ephysema,Asthma,TB na majonjwa yote yanayohusu mapafu na moyo.
 
Pia,anauwezo wa kutafsiri damu baada ya kupima hali yamgonjwa kama ana oxygen ya gas inahitaji tiba yeyote.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: