HIZI NI PICHA ZA MBUNGE WA KASULU MJINI, MOSES MACHALI AKIWA AMELAZWA HOSPITALI YA GENERAL ILIYOPO MKOANI DODOMA


 Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka juzi usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi.

 Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka juzi usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi. Aliyesimama wa kwanza kushoto ni dereva wake, Baraka Charles Mchira.
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma,David Misime akizungumza na waandishi wa habari mjini humo jana kuhusu tukio la  Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR) Moses Machali kuvamiwa na vibaka eneo la Area E juzi usiku. 

No comments

Powered by Blogger.