HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA KISIWA CHA GOREE, SENEGAL

 Rais wa Marekani Barack Obama na familia yake wakiwa kwenye boti wakielekea kwenye kisiwa cha Goree mbacho kilikuwa maafufu kwa uuzaji wa watumwa kwenye karine ya 17.

Endelea kutizama matukio kwa kubofya hapa chini



 Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mwanae Malia wakiwa wanaelekea kwenye kisiwa cha Goree ambacho umaarufu wake ilikuwa ni kwenye karne ya 17 kwani kulikuwa na bandali kubwa ya kuwasafirisha watumwa 
 Rais wa Marekani Barack Obama akiwa kwenye boti akielekea kwenye kisiwa cha Goree mbacho kilikuwa maafufu kwa uuzaji wa watumwa kwenye karine ya 17.

 Rais wa Marekani, Barack Obama  na familia yake wakipata maelezo kutoka kwa mtaaramu kuhusu biaya utumwa ulivyofanyika kwenye kisiwa cha Goree kilichpo nje kidogo ya mji wa Dakar, Senegal hapo jana June 27, 2013

 Rais wa Marekani Barack Obama akiingia kwenye mji wa Goree 
Rais wa Marekani Barack Obama na First lady Michelle Obama wakipokea maua ya upendo baada ya kufika kwenye kisiwa cha Goree ambacho kiko nje kidogo na jiji la Dakar nchini Senegal

 Rais wa Marekani Barack Obama na First lady Michelle Obama wakiwa kwenye mlango kuingilia majini uliotumika kuwapitisha watumwa kwenye kisiwa cha Goree na kutizama historia ya watumwa hapo jana June 27, 2013 
Rais wa Marekani, Barack Obama akioneshwa kitu 
 Rais wa Marekani Barack Obama akiwa kwenye pozi alipotembelea kwenye kisiwa cha Goree kutizama historia ya watumwa hapo jana June 27, 2013
 Rais wa Marekani Barack Obama akiwa kwenye pozi alipotembelea kwenye kisiwa cha Goree kutizama historia ya watumwa hapo jana June 27, 2013

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: