Daraja hili lilijengwa kwenye mto wa St. John na kampuni iliyoitwa Hartland Bridge ambayo ililizindua daraja hili mnamo
July 4 1901 na urefu wa daraja hili ni mita zipatazo 391. Daraja hili limekuwa kivutio sana kwa utalii kwenye nchi ya Canada
Hii ni sehemu ya upande wa kwanza
Bofya hapa chini kwa kuendelea kutizama picha
Na huu ni upande mwingine wa daraja hili
Hapa ni wakati wa msimu wa baridi
SOURCE: PIXGROVE







.jpg)

No comments:
Post a Comment