HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PAPA JOHN PAUL II ATAPEWA UTAKATIFU BAADA YA VATICAN KUTHIBITISHA MUUJIZA WA PILI INAYOSEMA ULITOKEA KUTOKANA NA SALA ZAKE

Baba Mtakatifu wa sasa Francis I amehakiki muujiza huo, akisema unatoa nafasi kwa John Paul (pichani) aliyezaliwa Poland kutangazwa Mtakatifu baadaye mwaka huu. PICHA | AFP  
Vatican. Papa John Paul II atapewa Utakatifu baada ya Vatican kuthibitisha muujiza wa pili inayosema ulitokea kutokana na sala zake.
Baba Mtakatifu wa sasa Francis I amehakiki muujiza huo, akisema unatoa nafasi kwa John Paul aliyezaliwa Poland kutangazwa Mtakatifu baadaye mwaka huu.

Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
John Paul II, aliyezaliwa Karol Józef Wojtyła mwaka 1920, alikuwa kiongozi wa kiroho wa waumini zaidi ya bilioni moja wa Kanisa Katoliki toka mwaka 1978, mpaka alipofariki mwaka 2005.
Vile vile, Francis I ametangaza pia kumpa utakatifu Papa mwingine, John XXIII, ambaye aliongoza kanisa Katoliki toka mwaka 1958 hadi 1963. 

MWANANCHI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: