HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TIZAMA PICHA 12 ZA NDEGE YA ASIANA 214 ILIYOANGUKA JANA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA SAN FRANSISCO

Ndege ya Asiana 214 ikiteketea kwa moto  baada ya kuanguka kwenye uwanja wa  kimataifa wa San Fransisco hapo jana July 06, 2013
 Magari ya zima moto yakiendelea kuzima moto kwenye ndege ya Asiana  214 iliyoungua hapo jana July 06, 2013

 Ndege ya Asiana  214 ikiwa imeungua kwa ndani na kuharibika kabisa

Msemaji mkuu wa uwanja wa San Francissco, Doug Yakel akiongea na vyombo vya habari baada ya ndege ya Asiana  214   kuwaka moto

Endelea kusoma tukio hili kwa kubofya hapa chini



 Moshi mkubwa ukionekana angani

 Baada ya kumaliza kuzima mito ndege ya Asiana  214



 Huu ndio uwanja wa San Francissco ambako ndege ya Asiana 214 ilianguka na kuungua moto

 Kevin Cheng akiongea na simu baada ya ndege ya  Asiana 214 kuanguka na kuwaka moto kwenye uwanja wa kimataifa wa San Fransisco

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: