Ndege aina ya "Airforce one"
iliyombeba Rais wa Marekani, Barack Obama ikiwa angani kuelekea Marekani
Msafara wa Rais Barack Obama ukiwa maeneo ya Mwenge ukielekea Ubungo
Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini
Msafara wa Rais Barack
Obama ukielekea Ubungo
Gari ya Rais wa Marekani Barrack Obama,ikiingiaka kwenye kiwanda cha kufua umeme cha Symbion eneo la Ubungo kabla ya kuelekea uwanja wa ndege |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulishaWaziri wa Uchukuzi Mh. Mwakyembe kwa Rais Barrack Obama wa Marekani leo Ubungo
Rais Barrack Obama wa Marekani na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
wakizungumza na watendaji wa kuu wa sekta ya umeme nchini.Kushoto ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mr.Maswi,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam
Sadik Meck Sadik na watatu kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Sospeter Muhongo wakati kiongozi huyo wa Marekani alipotembelea mradi wa
kuzalisha umeme unaofanywa na kampuni ya Symbion power ya Marekani huko Ubungo
jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwenyeji wake Rais Barrack Obama
wa Marekani wakipata maelezo juu ya kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo
kinachoendeshwa na kampuni ya symbion power wakati viongozi hao walipofanya
ziara katika kituo hicho leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa
Kampuni ya Symbion Power Bwana
Waendelea kumsikiliza msemaji wa kampuni ya symbion power
Rais wa Marekani, Barack Obama akionesha kipaji chake kwenye kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo leo
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete(kulia) alishindwa kujizuia nae akaanza kucheza mpira na Rais wa Marekani, Barack Obama kwenye kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo
Gari ya Rais wa Marekani
Barrack Obama,ikitoka kwenye kituo cha uzalishaji wa Umeme Ubungo na kuelekea uwanja wa ndege cha Mwalimu Nyerere
Msafara wa Rais Barack Obama ukiwa maeneo ya Buguruni ukielekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Msafara wa Rais Barack Obama ukiwa maeneo ya TAZARA kwenye mataa ukielekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere
Hili ndilo gari alilokuwa amepanda Rais wa Marekani, Barack Obama wakati anaelekea uwanja wa ndege
Akiwa anaelekea Airport tayari kwa safari ya kurudi Marekani
Rais
Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu kurudi nchini Marekani, baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili hapa nchini iliyoanza jana
Rais Obama na mkewe wakikwea pipa lao la Air Force One
Rais Obama na mkewe wakipunga mikono kuaga Watanzania
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiaga wageni wao
Rais Barrack Obama wa Marekani na mke wake Michelle Obama wakiwaaga watanzania leo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere
Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Adam Malima (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe Alfonso Lenhardt wakipungia kuaga wageni wao

PICHA ZOTE NI KWA HISANI YA FULL SHANGWE, GPL, ISSA MICHUZI NA YAHOO

















No comments:
Post a Comment