By: VIJIMAMBO
on July 02, 2013
/
 |
| Maandamano ndiyo yamekuwa kama kiamsha kinywa kwa wananchi wa Misri hasa
mjini Cairo wakilalamika kuwa serikali haijali sana maslahi yao
|
 |
| Lakini rais ana wafuasi wake sugu kama hawa wanaoonekana kuunga mkono kila hatua anazochukua kuhakikisha kuna utulivu Misri
|
|
|
|
|
 |
| Mabango haya ni ishara ya watu kuonekana kumpinga rais Morsi kiasi cha
hata kuteketeza makao ya chama tawala cha Muslim Brotherhood
|
 |
| Mji wa Cairo umekuwa kitovu cha maandamano makubwa kama haya ambapo
wengi wanataka rais Morsi kuunda serikali inayowajumuisha na hata
wapinzani wala sio ya chama chake pekee
|
 |
| Hawa ni wapinzani wa Morsi wanaosema kuwa anaoenekana kuweka maslahi ya
wafuasi wa chama cha Muslim Brotherhood na kuhujumu manufaa na faida za
kumuondoa mamlakani aliyekuwa rais Hosni Mubarak
|
 |
| Hawa wanamtaka Mosri kuondoka mamlakani lakini kwa sasa kuna dalili ya
kuanzishwa mazungumzo kwa pande zinazotaka kujumuishwa kwa serikali
|
 |
Wananchi wa Misri wamekuwa wakiandamana kwa muda mrefu baadhi wakimpinga rais Mohammed Morsi na wengine wakimuunga mkono
Source: BBC Swahili |
|
|
|
|
Tag:
PAMOJA BLOG's Admin
HABARI, SIASA , AFYA , JAMII NA MATUKIO MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment