HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HII NDIO LUXURY MERCEDES BENZ SPRINTER VAN KWA NDANI KULIKO ZOTE DUNIANI

Mercedes-Benz Sprinter ni gari lililotengenezwa kwa kufanyia biashara lakini baadae waliamua kulitengeneza upya na kuwa gari la luxully. Gari hili la Mercedes-Benz Sprinter vans lina viti vinne, na pia kuna music kubwa ambayo unatumia Wireless headphones wakati wa kusikiliza . Na pia gari ilo lina Tv kubwa ya inch 32na pia kuna Internet ya Speed kubwa.Garli hili liko kwenye mtaa wa Manhattan, New York nchini Marekani



Endelea kutizama picha hizi kwa kubofya hapa chini








«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: