UPDATES: VIONGOZI WA CHADEMA WASHIKILIWA NA POLISI MKOANI IRINGA
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwa madai kukiuka taratibu za mikutano ya hadhara na kuashiria uvunjifu wa amani katika mkutano wa mkutano wa hadhara wa Maraza ya Wazi ya Rasimu ya katiba mpya, ulofanyika kwenye Ukumbi wa Mwembe Togwa mjini Iringa.
Tag:
No comments:
Post a Comment