Gari aina ya Scania lililokuwa limebeba Containa limedumbukia darajani baada ya kushindwa kupanda mlima mdogo uliopo eneo la Tabata reli na kudumbukia darajani
Gari hilo likiwa linatolewa kwenye daraja hilo
Utoaji wa Gari hilo ulisababisha foleni kumbwa katikaeneo la Tabata Reli maana ilikuwa inatumika njia moja
No comments:
Post a Comment