Mbunge wa jimbo la Morogoro
Mjini, Aziz Abood ambaye ndiye mmiliki wa kituo cha Abood media alipokuwa
akifanya kazi marehemu Nyaisangah akimpa mkono wa pole mke wa marehemu, Leah
Nyaisangah nyumbani kwake Kihonda mtaa wa Viwandani mkoani Morogoro

Mke wa marehemu, Leah Nyaisangah akiwa na
simanzi baada ya kuondokewa na mumewe.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI





No comments:
Post a Comment