Gari lenye namba za usajili T606 BJB lilolokuwa
linatokea Stand kuu ya Iringa kelekea Ifunda limepata ajali baada ya kuligongana na
Lori lenye namba za usajili T 234 CLU ambalo ni Mali ya T.H Clements & Son LTD eneo la
Kitwiru ambapo ajali ilipotokea , Ajali hii ilitokea baada ya Dereva wa basi alipojaribu kumpita dereva wa Lori hilo bila
mafanikio na watu watatu wamejeruhiwa katika ajali hiyo. (Picha na Said Ng'amilo)
CHANZO: MJENGWA BLOG



No comments:
Post a Comment