HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KHAAAH!!! HAMA KWELI TANZANIA KUNA VIPAJI VINGI MTIZAME PUNGO KIPINGE AKONESHA KIPAJI CHAKE

 Huyu ndiye Pungo  Kipinge kijana mwenye kipaji cha hali ya juu 
Sasa kazi imeanza kama unavyojionea hakuna kuigiza hapa huu ndio ukweli wa kudhihirisha kipaji kikubwa alichonacho kijana Pungo  Kipinge na hapo kumbuka yuko juu ya meza.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Pungo  Kipinge akiwa amejikunja kama hana mifupa vile
Wengine wanaweza kusema Pungo  Kipinge anavunjika kumbe yeye hapo yuko vizuri
Sasa kijana Pungo  Kipinge analamba moto hii weka mbali na watoto maana unaweza kuuguza mtoto hositalini mwaka mzima

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: