Kutokana na msiba wa Recho wa Bongo Movie, Salma Jabu "Nisha" amehairisha kutoa filamu yake tarehe 29/6/2014 na kuamua itoke
tarehe 12/6/214 kutokana na kuheshimu msiba huo na kumuumiza sana na mashabiki
kuwa kwenye majonzi makubwa sasa kasogeza mbele ili mashabiki wapate muda wa
kuungana na msiba huo.
-
No comments:
Post a Comment