Hatimaye
mbio za kumsaka Miss dar City Centre 2014 zahitimishwa usiku wa
kuamkia leo katika ukumbi wa Dar es salaam free market baada ya mshiriki
namba kumi na saba (17) Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar
City centre 2104. Picha na Justine Kazaura wa Light Photo Studio
-
No comments:
Post a Comment