Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014. Walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari mkongwe, Prince
Bagenda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Picha na PMO
No comments:
Post a Comment