HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BLACKBERRY KUJA NA TOLEO JIPYA LA SIMU ZIITWAZO ‘PASSPORT’, KUINGIA SOKONI DECEMBER

 
Boss mpya wa Blackberry John Chen hivi karibuni alitangaza kuwa toleo jipya la Blackberry litaitwa ‘Passport’, na kuongeza kuwa itatangazwa rasmi mwezi September huko London.
‘Blackberry Passport’ ndio toleo jipya la simu za Blackberry zinazotarajiwa kutambulishwa rasmi mwezi September mwaka huu na kuingia madukani mwezi December.
Blackberry Pasaport ina kioo kikubwa pamoja na physical keyboard.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: