HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YAYA NA KOLO TOURE WAPATWA NA MSIBA WA MDOGO WAO WAKATI WAKIENDELEA NA KOMBE LA DUNIA

 Ndugu, Yaya na Kolo Toure wamepewa taarifa za kifo cha mdogo wao Toure Oyala Ibrahim wakati timu yao ya Ivory Coast ikiendelea na kombe la dunia nchini Brazil.
  Mdogo wa wachezaji hao wa Manchester City na Liverpool amefariki jana akiwa na umri wa miaka 28 jijini Manchester kwa saratani ikiwa ni saa mbili baada ya Ivory Coast kufungwa mabao 2-1 na Colombia.
Chama cha soka cha Ivory Coast kimetoa pole kwa Yaya na Kolo imewataka wananchi kuwakumbuka katika sala wakati huu mgumu kwao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: