Hii
ni Filamu inayoelezea maisha ya mtoto wa polisi anaesakwa kwa ajili ya
kutoa mizigo ya maadui,Yani inakuwa shida pale Baba polisi na ahangaika
na wahalifu halafu mtoto anakuja kutoa Mizigo ya maadui.Ndani ya Filamu
hii kuna waigizaji mahiri na makini kama Gabo Zigamba ambaye amecheza
kama mhusika mkuu pia Yupo mwanadada mahiri na machachari Anayejulikana
kwa jina La Aisha Bui ambaye ni mhusika mkuu na pia Ndiye Produsa wa
Filamu Hii Matata.Mwezi wa Nane itakuwa sokoni Si ya kukosa Hii.
-
No comments:
Post a Comment