Ni
movie ya Vichekesho inayohusu maisha ya wanandoa wanao shinda ndani ya
nyumba kutokana na kutoelewana kitabia,sasa si unamjua bwana Mboto huwa
haaribu pale anapopewa kipande cha kuigiza?Basi humu ndani mbavu zako
lazima uzishikirie aiseee ni full vituko na kufurahi,Pia mwanadada Nisha
kama kawaida yake kashiriki kwenye hii Komedi na si unamjua Nisha Bebe
huwa hakoseagi kama ulivyowahi kuziona Paku na Pusi,Zena na Betina Basi
Hii sio Nakala ya Kukosa Kuitazama
-
No comments:
Post a Comment