Mkurugenzi mtendaji wa TDL David Mgwasa akielezea na kutoa ufafanuzi wa Kinywaji kipya aina ya Fyfe's.Kampuni ya Tanzania distilleries ltd (tdl) Juzi Tarehe 20 mwezi wa 8 2014 imefanya uzinduzi wa kinywaji chake kipaya aina ya Fyfe's katika hoteli ya Serena, Kinywaji hicho ambacho uhalisia wake na uzindikaji ni wa nchini scotland.Mkurugenzi wa TDL David Mgwasa amewaomba waTanzania kukipokea kinywaji hicho kwenye soko la vimiminika kwani kina ubora wa hali ya juu na kimetengenezwa kwa asilimia kubwa kwa kutumia vitu asilia,
Langas Group wakiingia ukumbuni kwa kutoa burudani ikiwa ni kumkaribisha Bwana Langa Khanyile ambaye ni mtaalamu wa masuala ya upishi wa bia na uchanganyaji.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akicheza kwa furaha na mshehereshaji wa shughuli hiyo Jimy Kabwe Ndani ya Serena Hotel wakati wa uzinduzi
Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akitoa maelezo ya kina ni kwa namna gani kinywaji hicho kinaandaliwa kutoka hatua ya kwanza mpka Mwisho.
Moshi mkubwa ukitoka ndani ya kifaa cha mfano wa glass ya asili kuashiria uzinduzi rasmi wa kinywaji cha Fyfe’s ndani ya Serena hotel
Wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakiangalia namna pekee ya uzinduzi wa kinywaji cha Fyfe’s
Na Hatimaye Kinywaji kikawa tayari kimezinduliwa Rasmi
Wahudumu wa Serena Hotel wakigawa glass zenye kinywaji cha Fyfe’s ili kuweza kujionjea Ladha yake
Cheeers hapo ni wageni waalikwa na wadau mbali mbali wakifurahia ladha ya kinywaji cha Fyfe’s mara tu baada ya kuonja,
Wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa kinywaji cha Fyfe’s
Langa Khanyile mtaalamu wa upikaji na uchanganyaji wa kinywaji cha Fyfe’s akifurahi pamoja na wadau na wageni waalikwa
Uonjaji na unywaji wa kinywaji cha Fyfe’s kwa wadau na wageni mbalimbali
Meneja Masoko wa TDL akitoa ufafanuzi wa bei za kinywaji aina ya Fyfe’s pamoja na kuchezesha draw ya bahati na sibu kwa wageni na wadau waliofika kwenye uzinduzi huo
Mshindi wa Kwanza kwenye uzinduzi wa bia ya Fyfe’s Bwana Bernard Suma maarufu magodoro akifurahia ushindi wa kwanza ambapo atakwea pipa moja kwa moja mpka Scotland kwa ajili ya kujione namna kinywajui hicho kinavyotengenezwa.
Langas Group wakitooa burudani ya asili kutoka nchini scotland kwa wageni na wadau mbalimbali
Wageni wakiendelea kubadilishana mawazo pamoja na kunywa kinywaji cha Fyfe’s
No comments:
Post a Comment