Haji Ramadhani(mwenye shati nyeusi), Luiza Mbutu (wa pili kutoka kulia), Kupaza (wa kwanza Kulia) wakiwa pamoja na waimbaji wenzao kwenye shoo iliyofanyika kwenye club ya Maisha jijini Dar
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior akicheza pamoja wacheza shoo pamoja wakiwaburudisha mashabiki wao waliofika kwenye ukumbi wa Maisha jijininDar.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Salehe Kupaza akiwabuudisha mashabiki wao waliofika kutizama shoo yao ya nguvu
Mwimbaji wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (aliyeshika mike) akiendelea kuwaburudisha mashabiki wao kwenye ukumbi wa maisha jijini Dar
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya 'Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akicheza moja ya nyimbo zao
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.
No comments:
Post a Comment