HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » DICOTA 2016 YAANZA KWA MCHAPALO WA NGUVU.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle, WA, Bwn. Mutta (kushoto) akiwa na mkewe wakiangalia majina yao huku Bi. Asha Nyang'anyi (kulia) akijaribu kuwahudumia.
Salum kutoka California akikabidhiwa beji na kabrasha lenye jina lake mara tu alipowasili kwenye hotel ya Hyatt Regency Dallas kwenye kongamano la DICOTA 2016 ambalo mwaka huu linafanyika Dallas nchini Marekani.
Mke wa Balozi Bi. Marustela Masilingi akiwa katika picha ya pamoja na Muzo, mwanafuzi wake wa darasa la tano shule ya msingi ya Mapambano ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Mhe. Balozi Wilson Masilingi akibadilishana mawili matatu na wageni waliofika kwenye mchapalo
Balozi Wilson Masilingi na mkewe Marystela wakiongea na mgeni wao Balozi Anisa Mbega


 








«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: