HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PENZI LA SHEMEJI SEHEMU YA HAMSINI (50)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Tulishtuka sana kila mmoja akabaki kuwaangalia wale askari kwa mshangao " Mbona mnashtuka? Mnahusika nini?" akauliza mmoja wa wale askar " Tunahusika kivip? Na mbona hatujui mnachoongelea? Kutukamata kwa kosa lipi hasa?" akauliza shemeji mfululizo " hayo maswali utayauliza kituoni" akasema afande mmoja " Naomba kutoa taarifa basi kwa ndugu mmoja kisha atawatarifu wengine" akasema " Fanya fasta" akafoka yule askar 
Shemeji akatoa simu yake na kisha akapiga " Mkuu.....vijana wako wamekuja kunichukua hapa kwa kosa nisilolielewa naom......." hakumaliza maongezi askari mmoja akamnyang'anya simu Hatukuwa na ubishi tena ikabid tuongozane nao kuelekea kituoni kwa ajili ya hiyo kesi yao Tulipofika moja kwa moja tukaingizwa ofisi moja iliyoonekana ya mtu mkubwa wa kituo kile " 
Ketini" akasema " Bila shaka wewe ni Lilian na huyu ni Junior mke na mdogo wa merehemu?" akauliza "Ndiyo" tukajibu " Mnaijua sababu ya kifo cha kaka yenu?" akauliza " Ndiyo ni ajali" akajibu shemeji kwa kujiamin " Aaaaah! Ajali? Kumbe? Na hiyo ajali ni halisi au ya kutengeneza?" akauliza " 

Hayo sifaham kwa kweli ila me nafikiri hapa ningeambiwa kosa langu la kuletwa kituoni" akasema shemeji kwa kujiamin " Kosa utaambiwa tu ila uwe mpole" akajibu yule mkuu " Kamanda unaandika maongezi haya ee?"akauliza " Ndiyo afande" akajibu yule mwenzake " Mnamfaham Dokta Rweyemamu?" akatuuliza " Ndiyo tunamfaham kwa sababu ndiye wa mwisho kumhudumia marehemu mume wangu" akajibu " 
Mara ya mwisho mlionana naye wap?" akauliza " Wakati tumemfata marehemu na yeye ndiye aliyetukabidhi tukaondoka naye" akajibu " Mbona wewe haujib bwana mdogo?" akaniuliza " Sio lazima tujibu wote hata mimi natosha" akajibu shemeji " Nataka ajibu mwenyewe" akasema " Shemeji ameshajibu sihitaj kuongeza" nikasema " Shemeji au mkeo?"akauliza " Hiyo haikuhusu" nikajibu " 
Nikisema mmemuua kaka yako ili muishi pamoja ntakosea?" akauliza kimtego " Kuwa na adabau Inspekta na uwe na adabu kabisa,mimi kuishi na huyu sijapenda ila tunafata mila za huko kwao jiheshimu" akasema " Sasa chagua kati yenu mmoja abaki ndani mpaka kesho wakati tutakapochukua maelezo kamili ya kesi yenu na mmoja aende nyumbani mpaka kesho ndiyo atarudi hapa" akasema " Nitaenda na atabaki" akasema shemeji " 
Wewe mwanamke hatuwezi kukuachia,ataenda shemeji yako na wewe utabaki kwa sababu hatukuamin" akasema " Poa,baby chukua hii simu yangu,jitahid umpigie Mkuu wa Polisi kanda maalum na IGP na waeleze kinachoendelea,nime wa save kwenye simu yangu" akasema kisha akanikonyeza Niliondoka eneo lile nikiwa mnyonge sana na kuelekea nyumbani kwa ajili ya kujiandaa na lile sakata Njiani nilifanya mawasiliano na mkuu wa mkoa kipolisi wa Kinondoni ambaye ndiye aliyekuwa akijuana na shemeji na si IGP kama alivyodai ila najua alifanya vile kuwa tisha pale 
Nilipofika ndani nilipitiliza chumbani nikiwa na mawazo sana kwa kilichotokea kwa siku hiyo Baada ya kuoga nilirudi sebuleni kwa ajili ya kupata chakula cha usiku Nilimkuta Joan akiandaa chakula mezani nikakumbana na maswali lukuki kuhusiana na kilichotokea na kuyajibu yote " Fanya kula basi nioge nakuja" akasema Niliendelea kula kwa muda kisha nikaelekea eneo la kupumzika na kuangalia Tv Baada ya muda Joan alitoka bafuni akiwa na kanga iliyoloa maji na kuja moja kwa moja sebuleni na kupita mbele yangu kuelekea mezani 
Nilisisimka mpaka utosini,na kwa maksud akawa analichezesha kwa style flani ya uchokozi Nilimwangalia kwa kugandisha macho eneo moja mpaka nikahisi mate ya uchu yananidondoka Nikasahau kuhusu kesi na kufikria namna ya kumla yule kuku wa kienyeji!!!

ITAENDELEA JUMAMOSI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: