HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WANAFUNZI INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA WATEMBELEA UN TANZANIA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mmoja wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama), akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo anuai Mmoja wa wafanyakazi wa UN nchini Tanzania (kulia), akitoa somo kwa Wanafunzi wa 'International School of Tanganyika-IST' waliotembelea ofisi hiyo nchini Tanzania kujifunza shughuli mbalimbali za msingi zinazofanywa na UN.
 Mmoja wa wafanyakazi wa UN Tanzania (aliyesimama kulia), akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of Tanganyika-IST) kuelezwa namna ofisi hiyo inavyo pambana kutetea haki mbalimbali za msingi kwa watoto popote duniani. Wanafunzi hao walitembelea ofisi za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kujifunza mambo anuai Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (International School of Tanganyika-IST) wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao mara baada ya ziara yao ya mafunzo kutembelea Ofisi za UN Tanzania.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: